Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

hongera sana kwa utafiti wako na ushauri wako maana kama ni dawa basi inatibu jinsi zote. God bless you.
 
Asante sana kaka Mtambuzi,

kwangu imekuwa kama changamoto kujiangalia kama NIKO au SIKO hivyo ulivyoelezea. Isijekuwa mi najiambia bado nipo nipo kumbe ni mimi mwenye matatizo.

Cc: Paloma (naomba feedback)
 
Last edited by a moderator:
Ajabu ni kwamba wanawake wengi huwa hawayaoni hayo, mara zote huwa wanaamini baada ya kuanza kuishi na mwanaume labda ataweza kumbadilisha au mwanaume ataweza kubadilika.
Zaidi ya hayo miaka ya karibuni wanawake wamekuwa wanajali zaidi mali kuliko tabia za mwanaume. Wapo tayari kuolewa na mwanaume goigoi mwenye mali za urithi kuliko mwanaume mchapakazi mwenye kipato cha kawaida.
 
huo ni mtazamo tu ukisema ufate kila kigezo basi hakutakuwa na ndoa kumbuka kuwa hata wanaume wana criteria zao wanazohitaji kwa wanawake
 
hutaki hata wakukuondolea nuksi, japo uolewe kwa mwezi mmoja kisha ndio urudi kwenu....? Lol
aniondolee nuksi antie nuksi lol mtambuzi nshakutana mie na hizi namba1,3,4,6,7,9,na 10 ni mtu mmja huyo nilimpiga makofi nakumparura nikamlaza police nkamwacha huko alafu mama yake akaja mgombelezea hahahah nataka utani mie waja nletea ujinga wako mjini hapa sikuja shangaa majengo pacha ya bot mie sasa hivi naskia ana watoto 5 hana ndoa halali ,hana kazi hahahah nigebeba mavi mie lol
 
na wewe lione nini sasa kimekuleta humu wajansema mwenzio ati lol
 
asante sana kaka mtambuzi,

kwangu imekuwa kama changamoto kujiangalia kama niko au siko hivyo ulivyoelezea. Isijekuwa mi najiambia bado nipo nipo kumbe ni mimi mwenye matatizo.

Cc: paloma (naomba feedback)
namba 5,7 ,8 na 9 zinakuhusu kulingana na kabila lako hapo upo stuka hahahahaha hizo namba huzikimbii na ukikimbia ni namba 9 tu hahahhaah
 
Namba 5 ilinifanya niwachukie wanaume wa kichagga kabisaaaa na hajawahi onja hapa hahahahah Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Hahah...
Best ya kwetu huwa tunayamaliza nje wala hatuyaleti huku.
Si wajua vile navyokupenda eenh...sasa hayo niliyoandika nataka tu kuwafumbua macho wadada wengine sio wewe...

na wewe lione nini sasa kimekuleta humu wajansema mwenzio ati lol
 
mkuu mtambuzi sasa sijui utaki na sisi tuoe?umeangalia upande mmoja peke yake,hapo kwenye namba 9 hapo ndo pana balaaa itabidi avumilie tu aisee no way out
 
Asante sana kaka Mtambuzi,

kwangu imekuwa kama changamoto kujiangalia kama NIKO au SIKO hivyo ulivyoelezea. Isijekuwa mi najiambia bado nipo nipo kumbe ni mimi mwenye matatizo.

Cc: Paloma (naomba feedback)


....hivi leo jumangapi?!?!?
loading..........!!!
 
Hutaki hata wakukuondolea nuksi, japo uolewe kwa mwezi mmoja kisha ndio urudi kwenu....? LOL

siku hiz ndo ilivyo mkuu unaoa wikikadhaa baada ya hapo unarudisha kwao,hatutaki pasua vichwa siku hizi
 
Mtambuzi kuna yule mdada alitakaga kukuchezea sharubu nikamkataza pembeni yangu......anasema wanaume wengi huwa vya pombe mara wakipata familia!!! ama niseme ulevi huonekana panapokuwa na mama, watoto etc so mambo yanazidi kumsonga na anaona bora ajilewee tuu!!!

akiwa bachela haitwi mlevi ila anakula laifu..........!!!

.........ni taaamu utabana ngenge!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mmh!!! Hivi ndio maana wanichukia hivyo lol!!
hahahahahahahahahahaaaa watu8 ngoja nikaku unfriend aisee naogopa sana wanapenda ufalme sana hao watu aisee akisha kuoa ni sawa na amekukanyaga kichwa utakachokisema kwake ni ziro anataka anyenyekewe bila kujali na wewe ni malkia hahahahah ote !!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…