Mi sijakupata vizuri Mtambuzi. Ina maana wanaume wa aina hiyo tajwa hapo juu WASIOE? MI NILIDHANI PAMOJA NA UWEPO WA TABIA HIZO UTAKUWA NA NJIA MBADALA ZA KUWASAIDIA WANAWAKE KUKABILIANA NAO MAANA HATA WANAWAKE WAPO WA AINA HIYO TENA WENGINE KWA TABIA WALIZONAZO NI ZAIDI YA SHETANI.
JIPANGE TENA MTAMBUZI-WANAUME SASA HIVI NI DILI NA KUOLEWA KWA WANAWAKE WA SASA NA HIZO TABIA ZAO NI NDOTO.
Mtambuzi huwa mimi nakasirikaga kama hiyo namba 10 lakini haimaanishi mke wangu asinipende.
Sababu anajua ninakasirika(sio kisirani) kwa mara nyingi upuuzi wanaofanya watu especially wahudumu, ukitokea msala wa namna hiyo wife anatake over na kuniambia kwa kubembeleza(sauti yake laini), basi napotezea, ILA UWA NAMIND SANA wahudumu wakileta DHARAU!
Ushauri mzuri sana Mtambuzi ,lakini hawa wanawake hawashauriki
'
Halafu ile safari yetu ya kuelekea kisiwa cha kitintale imeiva,usiache kuja na Paloma
'
Sijui kwanini hataki kunielewa huyu malkia!
Ushauri mzuri sana Mtambuzi ,lakini hawa wanawake hawashauriki
'
Halafu ile safari yetu ya kuelekea kisiwa cha kitintale imeiva,usiache kuja na Paloma
'
Sijui kwanini hataki kunielewa huyu malkia!