Mwanamke akatwa viungo akitafuta urembo

Dada zetu, Shangazi zetu, Mama zetu.

Mifano hai kila siku mnaiona mbona hamjifunzi?! Mwangalieni Mitchelle yaliyomkuta sasa kisa urembo tu!

Kubalini kwa vile mlivyoumbwa msimkosoe Mungu.
 
Hata yule mke wa mr president wa kule magharibi alikufa hivi hivi
wakati anafanyiwa operation ya ngozi kuondoa mikunjo ya uzee
ilikuwa ni birthday yake....
 
Mungu hakupi vyote wala hakunyimi vyote huyu dada hakulijua hili mbona reception yupo safi sana tu.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mungu hakupi vyote wala hakunyimi vyote huyu dada hakulijua hili mbona reception yupo safi sana tu.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

msiwe mnacheka wenzenu jamani , huyu anadai alikuwa anachekwa toka utotoni kuwa nyuma yupo flat.
 
Wanaume ndo chanzo make siku hizi kila mwanaume anataka dem mwenye makalio
tuyatoe wapi sasa kama hatuna lol...

mimi mbona wenye makalio nimeshawachoka...........

vitu kimbau mbau ndiyo furaha yangu........
 
mimi mbona wenye makalio nimeshawachoka...........

vitu kimbau mbau ndiyo furaha yangu........
Wote wangekuwa kama wewe basi hayo mambo ya kichaina tungeshayaacha
tuahangaika kwasababu yenu teh..l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…