Mwanamke akatwa viungo akitafuta urembo

Mwanamke akatwa viungo akitafuta urembo

Usiporidhika na kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo kuumba matokeo yake ndio hayo... Pole yake..!
 
Usiporidhika na kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyo kuumba matokeo yake ndio hayo... Pole yake..!

maumbo mengine siyo madhara ya uumbaji..........

lishe na mazingira mtu aliyokulia huchangia pia..........
 
kwasababu u-mzuri ndiyo maana unaona bora ujikubali?

wewe unakubaliwa ndiyo maana hutaki makuu , huyu anadai alikuwa anachekwa toka zamani kuwa ni flat screen..

Sina uzurii wowote ila tu najiaminii hayupo ambae hachekwiii
 
Wanaume ndo chanzo make siku hizi kila mwanaume anataka dem mwenye makalio
tuyatoe wapi sasa kama hatuna lol...
Makalio hana kazi zaidi ya kuyaangalia tu, kitu chembamba ndiyo kitamu wangu....unaisikilizia mpaka kwenye kichogo, mbwembwe za makalio nikujaziana haja kubwa pasipo sababu, kwa hiyo kama kuna wanaume wanaoyataka si wote ni baadhi tu na wana mambo yao

 
Mimi hata unichekeje sijibadilishi ng'o ndio nilivyoumbwa, binadamu huwezi kuwaridhisha wote ona sasa masikini amekosa mikono na miguu kwa kujitakia.
Ngoja madhara ya mchina yachanganye haa Dar itakuwa ndogo hii.
 
Inasikitisha sana na pia ni funzo kwa wale ambao hawajikubali jinsi walivyoumbwa.
 
Pole dada

Unampa pole ya nini wakati unaambiwa kafanya makusudi ili awe the most beautiful of all in the world???? mambo mengine bwana sijui sisi binadamu tuna matatizo gani, ona sasa jinsi alivyo sijui anajisikiaje huyu dada!!!
 
Back
Top Bottom