Mwanamke akiacha kiuno nje ni katembea uchi; je mvulana/wanaume kuvaa mlegezo ni katembea uchi?

Mwanamke akiacha kiuno nje ni katembea uchi; je mvulana/wanaume kuvaa mlegezo ni katembea uchi?

Asante Mkuu; u r a great thinker!
I am not offended coz kisimi ni umbile la mwanamke ambaye pia ni mama yako! Pia kimeumbwa na Mungu, weye huna uwezo hata wa kuumba unywele!

heri hata ungekuwa nacho basi, kwa mawazo yako hayo nadhani kimeishaliwa na kutu hadi kimeisha kabisa!
 
Mimi ni mwanaume, binafsi yangu mwanaume anaevaa mlegezo ni sawa na wale mashoga wanaozunguka huku mjini kujitafutia soko la ngono.
 
congratulations! umefaulu mtihani, hongera sana kwa ukomavu uliouonyesha
sory for a bad language,
respect sana!

U r welcome! Now l give u respect, honestly l was not offended ila nilikudharau! Enjoy the rest of weekend!
 
U r welcome! Now l give u respect, honestly l was not offended ila nilikudharau! Enjoy the rest of weekend!

sasa neno gani tena hilo umetumia hapo kwenye bold? hebu chagua maneno basi manake ulishafuzu tayari mtihani wangu, au unataka nikunyang'anye maksi?
 
wengi wakikutana na wacchana wakiwa ata nguo ya ndan ikionekana kdogo 2 watasema anatembea uchi bt kwa mvulana akitembea amevaa mlegezo n kawaida y???????????????????

Wrong post an wrong direction......
 
Maua kwa nani? Wanawake ni zaidi ya maua! Tuna akili, uwezo utashi na hatuishi kwa ajili ya wanaume!
Ni maua kwa wanaume maana mnatufanye tuonekane 'bomba' na ni zaidi ya maua kama mwanamke ametulia anakuwa kama tanzanite-lulu
 
ina maana we ujaona tofauti ya mwanamke kuonesha nguo ya ndani na dume kuvaa mlegezo? kumbuka wengine wakionesha viuno na shanga zinaonekana
 
Nadhani huu mjadala hauwatendei haki wavaa milegezo na watembea matumbo wazi. Kwani wote siyo wa age yetu. ni teenagers. Wangekuwepo humu wangeweza kutoa michango yao tuwasikie.

Nina rafiki yangu mnigeria wale waislamu wa msimamo mkali ananambia jimboni kwao kijana akivaa mlegezo ni ruksa kuchukua fimbo ukamtandika. Alinichekesha sana.

Mimi bado nadhani ni utoto na utandawazi, so we don't have to make it a big deal.
 
Wanaovaa mlegezo yaani they are not worth hata kujadiliwa... kwa wadada kuonesha chupi mara nyingi ni kazi cause the way chupi zimetengenezwa ni kazi kuonekana compared na za guys...

Chupi za wadada, ni kweli? Bikini je?
 
Hatuko sawa usilazimishe. Haya toa jibu, mwanaume atembee kifua wazi na mwanamke atembee kifua wazi nani kakaa uchi?
 
Hatuko sawa usilazimishe. Haya toa jibu, mwanaume atembee kifua wazi na mwanamke atembee kifua wazi nani kakaa uchi?

sasa mkuu, swali kubwa kama hii unauliza mavuvuzela yatapata wapi jibu? just achana nayo tu tuendelee kuyakanyaga!
 
wengi wakikutana na wacchana wakiwa ata nguo ya ndan ikionekana kdogo 2 watasema anatembea uchi bt kwa mvulana akitembea amevaa mlegezo n kawaida y???????????????????
Mkuu,
mimi nadhani umeleta malalamiko badala ya mada hilo ni moja, la pili, hakuna mahali popote uma wa watz unawaunga mkono watoto/wavulana/wanaume wanaovaa milegezo! wengi hudharauliwa na kuonekana kama mateja, au wahuni fulani wasio na determination yoyote katika maisha na jamii! Lakini pia inabidi ukubali tofauti za kimaumbile zina nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu. Kwa mfano wanaume wanaofanya kazi za kupakua na kupakia mizigo mara ukipita kwenye masoko makubwa utawakuta bussy wakiwa vifua wazi na hilo halina mashiko! Hebu mdada ajaribu kukaa kifua wazi katikati ya soko utaona akina mama wakimfunika nguo haraka na wataamini kuwa hayuko normal. So suala hapa si mfumo jike wala mfumo dume suala ni uhalisia wa maisha yetu toka uumbaji.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom