Mkuu,mimi siku hizi niko makini na mambo yako hapo.Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,
Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua wameyakanyaga watajumrishwa humo na watayashuhudia haya;
✓Huko watakutana na watu wanaoshikiliwa na kuishi maisha ya kunyanyaswa na walinzi wa eneo hilo/walionekana ni kama askari na migambo,
✓Kunyanyaswa na baadhi ya mateka au wafumgwa wenzao kufikia hatua ya kukaribia kufa baada ya kupigwa roba ya shingo kwa muda mrefu.
✓Baadhi watachezea makofi mazito kutoka kwa afande mweusi na kibonge flani hivi.
✓Lakini kabla jua halijazama vizuri wale askari senior wataanza kuondoka kwenda kupumzika na kuwaacha mateka ama wafungwa hao chini ya migambo,
✓Ile polisi wanatokomea tu! Mgambo mmoja atawasanua wale mateka na kuwaambia kua kimbieni njia ya kutokea ni hii na ukinyooka moja kwa moja utaenda kuvuka geti utakuwa uko nje,
✓Wale watu baadhi waliopata kusanuliwa na mgambo yule wataanza kukimbia na kutoroka watakimbizwa na migambo lakini watafanikiwa kutoka nje ya lile gereza au kambi na watatokomea mashambani huko... Sijajua nini kitaendelea baada ya woa kutokomea mashambani.
Wakuu naona kama kumekucha tayari huko, nimeona taarifa ya mwanadada mrembo (Nifa) kuchukuliwa...Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,
Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua wameyakanyaga watajumrishwa humo na watayashuhudia haya;
✓Huko watakutana na watu wanaoshikiliwa na kuishi maisha ya kunyanyaswa na walinzi wa eneo hilo/walionekana ni kama askari na migambo,
✓Kunyanyaswa na baadhi ya mateka au wafumgwa wenzao kufikia hatua ya kukaribia kufa baada ya kupigwa roba ya shingo kwa muda mrefu.
✓Baadhi watachezea makofi mazito kutoka kwa afande mweusi na kibonge flani hivi.
✓Lakini kabla jua halijazama vizuri wale askari senior wataanza kuondoka kwenda kupumzika na kuwaacha mateka ama wafungwa hao chini ya migambo,
✓Ile polisi wanatokomea tu! Mgambo mmoja atawasanua wale mateka na kuwaambia kua kimbieni njia ya kutokea ni hii na ukinyooka moja kwa moja utaenda kuvuka geti utakuwa uko nje,
✓Wale watu baadhi waliopata kusanuliwa na mgambo yule wataanza kukimbia na kutoroka watakimbizwa na migambo lakini watafanikiwa kutoka nje ya lile gereza au kambi na watatokomea mashambani huko... Sijajua nini kitaendelea baada ya woa kutokomea mashambani.
KUNA UKOMBOZI?Wakuu naona kama kumekucha tayari huko, nimeona taarifa ya mwanadada mrembo (Nifa) kuchukuliwa...
Tuone nini kitajiri baada ya mwanamke kuchukuliwa.
Imeshatokea...Sijaelewa unatabiri ama ni umeota ndoto
Hasira za wenye hasira, nasikia kuna watu wanataka kuuziwa uoga?KUNA UKOMBOZI?
Duh!Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,
Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua wameyakanyaga watajumrishwa humo na watayashuhudia haya;
✓Huko watakutana na watu wanaoshikiliwa na kuishi maisha ya kunyanyaswa na walinzi wa eneo hilo/walionekana ni kama askari na migambo,
✓Kunyanyaswa na baadhi ya mateka au wafumgwa wenzao kufikia hatua ya kukaribia kufa baada ya kupigwa roba ya shingo kwa muda mrefu.
✓Baadhi watachezea makofi mazito kutoka kwa afande mweusi na kibonge flani hivi.
✓Lakini kabla jua halijazama vizuri wale askari senior wataanza kuondoka kwenda kupumzika na kuwaacha mateka ama wafungwa hao chini ya migambo,
✓Ile polisi wanatokomea tu! Mgambo mmoja atawasanua wale mateka na kuwaambia kua kimbieni njia ya kutokea ni hii na ukinyooka moja kwa moja utaenda kuvuka geti utakuwa uko nje,
✓Wale watu baadhi waliopata kusanuliwa na mgambo yule wataanza kukimbia na kutoroka watakimbizwa na migambo lakini watafanikiwa kutoka nje ya lile gereza au kambi na watatokomea mashambani huko... Sijajua nini kitaendelea baada ya woa kutokomea mashambani.
KUNA UKOMBOZI?Hasira za wenye hasira, nasikia kuna watu wanataka kuuziwa uoga?
Wanauza uogaKUNA UKOMBOZI?
MKUU,HUJANIJIBU.Wanauza uoga
Hii kadhia imefika mbali sanaIkitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,