Mwanamke akifanya haya jua tayari amekuzimikia

Sio kweli hii
hivi kwa AKILI YAKO wewe unajiona UNAPENDWA na huyo ULOYENAE?ngoja hcho KIBARUA KIOTE NYASI,,,ndy utaona MAPENZI YA KWL....PESA ndy MBOLEA YA MAPENZI MKUU,,,hakuna MAPENZI YA MATESO kama UKIWA HUNA PESA na mtoto UMEMPENDA,,,na hakuna raha ya mapnz kama UKIWA NA PESA,,,mtoto kila anachotamani UNAMPA,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment bora kabisa kwa mwaka 2019 zimebaki siku chache sana mwaka kuisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vyote utaviona pochi ikiwa imejaa,zaidi ya hapo utaambiwa unanuka jasho.
 
MONEY,POWER and RESPECT used to be a hit song back in 1996s in America and for the Hip Hop fans

Signal you showed above will apper to any women/girls if you have money,power and respect.
Money brings power and power brings respect.
 
Hahaha
 
If you only knew how cunning and manipulative we are, you wouldn't pretend to read us like an open book. 😁😁😁😁😁
Nilipigwa Hadi leo sijakaa sawa!Nguvu kubwa sana nimetumia kumbe ni hasara kuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…