dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Waambie ukweli wajue nasi tuna yetu tunayoyapenda. Sio wao tu ndo ionekane wana ya kuhitaji. Binadamu wote tuna mahitaji au mapenzi yetu. Vijana wa sasa hivi mnapoteza muda sana kumsikiliza mwanamke mpaka mnasahau mambo yenu basicMkuu😀😀
Nisijekuwaumiza Dada zangu
Waambie ukweli wajue nasi tuna yetu tunayoyapenda. Sio wao tu ndo ionekane wana ya kuhitaji. Binadamu wote tuna mahitaji au mapenzi yetu. Vijana wa sasa hivi mnapoteza muda sana kumsikiliza mwanamke mpaka mnasahau mambo yenu basic
Sijui kama ni kweli lakini we mjamaa unajua sana kuandika, nimecheka sana wakati nasoma ni kama mtu anaimba shairi.
Mimi najua sana kuandika hivyo napenda sana mtu anayejua kuandika (hapo vipi?) kwa kujibu wa Taikoni yuko sahihi au? 😀
Hapa ameongelea mwanamke halisi, kwa ujumla. Si wote wavaao skirt ni wanawake. Kuna wachache wana akili za kiume na utafiti huo hauwahusu.Hapo uliposema hakuna mwanamke asiependa sharobaro karudie tena utafiti wako
Wapo ambao hawana mpango na hao sharobaro sio kwasababu wameumizwa vya kutosha bali ni kwasababu wametanguliza akili mbele kuliko hisia!
Hapa ameongelea mwanamke halisi, kwa ujumla. Si wote wavaao skirt ni wanawake. Kuna wachache wana akili za kiume na utafiti huo hauwahusu.
Well said mkuu safi kabisa, Dah jf idumu sana kuna wamba humu mnatoa madini uhakika[emoji109]1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi
2. Binadamu wote wanabadilika haswa wakikutana na watu wapya au mazingira mapya
Bottom line
Usijihangaishe na binadamu ambaye ana free will, utafanya vyote ili kumridhisha ila kama hajaridhika na wewe HATORIDHIKA
Utabadilika na kujibadilisha kila kitu kukuhusu, ila kesho akipata gap la kuona hautoshi katika kiu yake HATORIDHIKA
FOCUS ON YOU maana siku zote kuna mtu aliye bora kukuzidi huko nje kwa hiyo HAKUNA utachofanya kitamridhisha mtu kama hatoamua yeye mwenyewe KURIDHIKA na ubora ulionao
Nyie mnaojifanyaga mabingwa wa uchambuzi wa wanawake ndio mnaliaga pekeyenu mkiwa chumbani kwa sababu ya wanawake.
Nyie mnaojifanyaga mabingwa wa uchambuzi wa wanawake ndio mnaliaga pekeyenu mkiwa chumbani kwa sababu ya wanawake.
Kuna mambo yanafurahisha sana...
Hakika...Binadamu WA siku hizi wabishi sana
Nyundo1. Binadamu si mwanamke si mwanaume, wote wanavihusudu vitu ambavyo hawana au vinatamaniwa na watu wengi