Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

JUZI TU UMETOKA KUWAPONDA MASHALO WANAOTAKA KUNG'AA NA KUVUTIA,LEO UMEBADILIKA.DUH TAIKON.NAKUBALI MAANDIKO YAKO,ILA PUNGUZA UREFU
 
Mdogo wetu pumzika, umeshachoka sasa.
 
Wewe ndio ulikuwa haujielewi plus utoto mwingi.
 
Mimi naomba waendeleee kunichukia maana pockeymoney itakuwa salama.

Pili huwa sina mda wa kushobokea mwanamke kivile maana hata tabia ya wanazopenda.kiugupi Huwa siziwezi na wao wanajua 😆😆😆😆..

Utasikia una ringa mara jeuri mara una kiburi sasa kwa kuwa huwa sijari yaani nawachosha 😬😬
 

ukioa itakubidi
 
Kwamba ili unione najielewa ilitakiwa nife!!! Ni fala peke take ndie ataambiwa hivyo na kutilia maanani,, utakuwq fala mmojawapo
Mtu timamu wala hasingefikia hatua ya kujiapiza kufa unless anayeongozwa na akili za kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…