Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

Ahsante Sana
 
Wako Wanawake wanaopenda Wanaume rafu na wenye sura mbaya km ya mamba au kiboko,wakiamini kuwa huyo atakuwa wake hataibiwa na Wanawake wengine.
Irene uwoya, msanii maarufu bongo alishawahi kukiri kwamba anawapenda wanaume wenye sura ngumu.
 
Mwanamke asije kukudanganya kuwa et ukimwacha atajiua...
Niliwahi kudanganywa hivi na mpuuzi mmoja! Alikuwa anaigiza hadi kulia...... kumbe bonge la danga. Nikalitosa baharini........ baharia nikaogelea hadi nchi kavu na kusepa kwa spidi ya Hussein Bolt!!! Sikugeuka nyuma hadi leo!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wapo vilevile tunachoshindwa Sisi wanaume tunataka tuwaelewe katika mtizamo wa kiumeni.
Wanawake sifa Yao kuu ni vigeugeu hivyo lazima uwe flexible kuwaelewa, usiwakariri Kama Notes za History
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maneno machache niliyoyaelewa
 
Kwa tabia za uchawa hizo achana kabisa na kuwashobokea wanawake! Utaachwaga kila siku
 
Mmmh!!! Kwahiyo hata mwanamke akitoa machozi mbele yako bado atakuwa ni mwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…