Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

Nakumbuka kuna maneno John Cena alisema

โ€œUsimfanye Mke wako kuwaonea wivu wanawake wengine, Bali wafanye hao wabawake wengine waone wivu kwa mkeoโ€


 
Mwanamke usimwamini asilimia Mia mfiche fiche baadhi ya vitu.

Mimi niliwahi kutrack simu ya MKE wangu nilichokua naskia akiongea na dada yake Hadi plani zetu za ndani kabisa za Maisha anampa full details.

Hadi Tabia zangu anasema mshahara wangu na Mambo kibao

Lakini nilitumia akili nikawa namuangalia zaidi ya miaka miwili sasa kuna siku nilimskilizisha audio zote akabaki ananiomba Tu msamaha ...

Baadae simu yake iliharibika Nikaamua kutomnunulia simu janja Hadi Leo mwaka umeisha anatumia kitochi .

Ila nampango mwezi huu nimtafutie simu then natrack upya.

Bahati nzuri sio MTU WA wanaume Ila anapenda Sana kuongea vtu vyetu vya Siri Kwa dada yake.

Mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake mwenyewe.
 
Kila mtu huwa na msiri wake..acha kuwapangia watu maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbe huwa una nyodo eeh ๐Ÿ˜
 
Umeongea ukweli mtupu. Hawa watu sio wasiri kivile. Mimi kwenye mipango ya pesa nilishaacha kusema nitapata ngapi ila huwa namaliza shida zao then najikataa kwenye malengo makubwa ambayo wao huwa na hofu sana ukiyafanya kwa kuwashirikisha
 
Im my own best version , hakuna kama mimi/ wewe kamwe hatokuja kutokea.
 
Umeongea ukweli mtupu. Hawa watu sio wasiri kivile. Mimi kwenye mipango ya pesa nilishaacha kusema nitapata ngapi ila huwa namaliza shida zao then najikataa kwenye malengo makubwa ambayo wao huwa na hofu sana ukiyafanya kwa kuwashirikisha
Nimejifunza kitu.

Huu uzungu ulitaka kuniua let me do my projects alone .
 
Sasa mtu aanze tu kukuchokoza mtt mzuri mweee, atakuwa amedandia mtumbi wa vibwengo
๐Ÿ˜‚Mi ni kakorofi kachinichini ujue,,, Kuna mmoja mwezi uliopita kaninanga eti ninavyoringa km vile Nina k mbili na zote bikira,,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nikamwambia hiyo yote ni hasira ya kukataliwa, akaongea mbovu nyingi, nikamjibu asijali asubiri nikifa awahi nikiwa mochwari ajipooze nikiwa maiti,, aliondoka kimya kimya,, badae eti oooh una nyodo sana wewe na maringo mengi,,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ