Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

punguza izi rubbish! and by the way where do u get time to write all these? hauna kazi ya kufanya? unaweza kuta pamoja na aya makelele yte unayopiga apa hujawai ata ku date wala kumaintain relationship yyt ya maana? you make too much noise!
 
Kutrack niweke app ipi

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Im my own best version , hakuna kama mimi/ wewe kamwe hatokuja kutokea.
Ni kweli hata finger prints hazifanani kwa sababu we are all unique in our own right but that doesn't remove the fact that we are competing for a certain spot in other people's mind especially in love issues

Therefore the definition of being the worst or the best becomes a decision of choosers, based on what they are looking for or find satisfactory in us

Ndio maana nikasisitiza kujikubali zaidi na kuacha kuipima thamani binafsi kwa kutosheleza tamaa au matamanio ya watu wengine yanayobadilika kila leo
 
Mkuu kwa heshima kabisaaa mambo ya simu ya mke achana nayo utakufa na presha bro. Fanya majukumu yako kwake tafuta pesa hautakuwa na hofu ya kuwaza anaongea nin anaongea na nani kwenye simu. Ukiishi nae kwa akili hata simu ataitupa akusikilize wewe. Vinginevyo kuna mambo utayakuta kwenye hizi simu utakufa na presha siku si zako.
 
Unatakiwa usichukue vitu serious Sana ... Nampango WA kufunga CCTV camera kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…