Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 May 21, 2024 #121 Hivi pesa ina faida gani zaidi ya kiwezeshi ? Sasa wewe kama furaha yako ni kumfurahisha mtu au kuzitoa hizo pesa iweje nadhani wewe ndio Judge mzuri wa furaha yako.... To each their own.....
Hivi pesa ina faida gani zaidi ya kiwezeshi ? Sasa wewe kama furaha yako ni kumfurahisha mtu au kuzitoa hizo pesa iweje nadhani wewe ndio Judge mzuri wa furaha yako.... To each their own.....