Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

20220828_202940.jpg
Eeeeh, kachokonoa Mzinga
 
𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗵𝗮𝗼 𝗼𝗺𝗯𝗮𝗼𝗺𝗯𝗮 𝗵𝗮𝗹𝗮𝗳𝘂 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗲𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗺𝗶𝗲 𝗵𝗮𝗽𝗮 🥰🙌
 
Wanaume tumeumbwa kutoa na Wanawake wameumbwa kupokea.

Changamoto ni pale una kipato kidogo alafu unataka umiliki Mademu 10 Kwa pamoja.

Imagine umeombwa shilingi 10,000 ya Umeme na hao wote 10 utaacha kulalamika na kuja kuwaandika Uzi humu?

Miliki demu mmoja mkali ambaye utaweza kutulia naye na kumuhudumia, akikuomba shilingi 30,000 ya Saluni unamrushia Chapu na TigoPesa.

Sasa we jifanye muchknow umiliki PisiKali 10 alafu wote wakataka hela ya Saluni 😜
 
Bro hunishauri lolote kuhusu hawa ombaomba.
Nitampa misimbazi wife wangu na ndugu wa karibu tu hasa maza.
Watoke na vikojoleo vyao vilivyolaaniwa
 
Sh. 5000 ukiipata kwa njia halali ni nyingi kuliko laki 1 ya kuombaomba kama mlemavu. Unajilaani mwenyewe na uzao wako.

Kazi kufuga kucha , kope na miwigi ya bandia kuzunguka kwenye ma bar kujiuza. Ni afadhali ya kitimoto kuliko binti kahaba.
 
Back
Top Bottom