Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

Mwanaume mzima asiye na tatizo lazima upate utamu wa Ke.

Kama hjapata mwaka mzima huyo ni mvivu na hapswi kuwa mwanaume.

Mimi naanzisha kampeni wadada wasitoe utamu kwa namna yoyote ile mpaka pesa. Busu linaambatana na pesa, ukiingiza na kutoa kuambatane na pesa. Saahiv wamebaki wanaume wenye ukike ndani kazi kulia lia tu kazi hayafanyi yanataka mwanamke mzuri.

Wanawake wasitoe penzi bila pesa

Igweeeee[emoji7]
You earn her first, ndio mambo mengine yanaendelea
May your pockets never run dry kwa kweli.
 
Naongea na wewe Binti mdangaji.

Wazazi wako si walikuwa wanakupa 500 tshs kwa siku ukatumie shule, eti leo hii unataka kila wiki umpige kizinga cha laki moja mpenzi wako 😂😂😂

Una akili timamu kweli?

Tumia mikono yako 2 , miguu yako 2 na akili kujitafutia kipato. Acha kusumbua watu, kucha kazi ya kutuma sms baby, baby nikuambie kitu, baby wiki ijayo birthday yangu.

Wewe ombaomba acha hiyo tabia.
 
Kweli kuomba omba si tabia nzuri.

Kuomba omba kunachochea zinaa.

Maana mwanaume unayemuomba pesa na sio mume wako na yeye lazima akuombe vya kuombwa hili muende sawa.
 
泡パ-泡パーティー.gif
 
Mambo ni magumu sheikh, ukiwa na kipato huwezi kuelewa, sio vijana wa kike wala wa kiume wanahemea juu juu.
Rafiki yangu mmoja Dr alinionyesha text ya ex mcheps, anaomba 5k ya sanitary pad, tena kwa ku~beg kabisa...its sad!!
 
Back
Top Bottom