Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kuna mtu nlimsikia anasema siku moja alikuwa na demu wake akasahau mafuta ya nazi. Alitumia mate mpaka yakakauka. Nikajiuliza why atumie mate au mafuta ya nazi?
Mwanamke akikupenda akiwa na hisia au hata asipokupenda ukamwandaa vizuri ukakiita kipapiro/papuchi. Inaitika. Nakwambia... Unaiandaa mpaka inaiva na kuwa ndembendembe unakula bila kutumia vitu ziada. Kule ndani huwa kuna kitanki kina mafuta.
Ukimlowanisha kinaachia na kumwaga ili sasa uingie. Hapo maana yake ameiva tayari kupigwa pipe. Hutumii mate wala mafuta. Mafuta anayo. Kuna oil mle ndani kama hujui.
Leo niwape darasa mambo kadhaa. Msichoke. Sisi wanaume wengine hatupendi kubaka.
1. Majimaji ya ute wa uke (lubrication)
Haya ni majimaji mepesi, ya uwazi au meupe, yanayotoka kabla na wakati wa tendo ili kusaidia kulainisha uke.
Ni ishara ya msisimko wa kijinsia.
2. Majimaji ya kufika kileleni (orgasmic fluids)
Baadhi ya wanawake hutoa majimaji mazito au meupe kama "cream" wakati wanapofika kileleni. Huwa nayapenda haya unakuta pipe inakuwa kama imepakwa cream
Hii hutofautiana kati ya mtu na mtu; si kila mwanamke hutokwa na maji haya.
3. Kutoa maji mengi (squirting / female ejaculation)
Wanawake wachache hutoa maji mengi sana, yenye rangi isiyo na nguvu (yako kama maji), wakati wanapofika kileleni. Haya hutoka kwenye tezi inayoitwa Skene's glands. Pia husababishwa na aina ya vyakula wanavyokula sometimes.
Sio wote hupata hali hii, lakini ni ya kawaida kwa wale wanaoipata.
Je, ni tatizo?
Hapana. Kama majimaji hayo hayana harufu mbaya au hayajaambatana na maumivu, kuwashwa, au hali nyingine zisizo za kawaida, basi ni jambo la kawaida kiafya na kisayansi.
Ukiona majimaji yamebadilika rangi kuwa ya kijani, njano au yana harufu kali — inaweza kuwa dalili ya maambukizi, na inashauriwa kwenda hospitali.