Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya


Nimekupa tu hint, usitafute kupendwa na Mwanamke kwa maana haitatokea sana sana kama akijua unataka usikie hilo kwamba “kakupenda” atakudanganya tu kukutumia na kukumwaga baadaye.

Cha muhimu kama Mwanaume kuwa na Mwanamke ambaye atakuheshimu, mambo ya kupendwa pendwa waachie Wanawake na watoto.

Wewe kama Mwanaume tafuta Heshima na ili uipate hiyo heshima ni lazima pia ustahili, kuvaa suruali peke yake hakutoshi kuheshimiwa heshima.

Huu ni uzoefu wangu kutokana na maisha yalivyonifundisha!
 
Kama ushamuoa mko kwenye ndoa halari je?

Nipe mbinu za kuweza kuvunja ndoa yenye mwanamke aliye kinyume na ulivyoeleza
 
Ngwair alishasema , Vitu vitano vya kumfanya mwanamke asikuache

1) Mpe hela
2) Mpe hela
3 ) We mpe hela
4) Nakwambia mpe hela
5) We mpe hela utaona tuu
 
Nikisema nilishayaandika hapa ninamaanisha ..

I know them Mwanaume Mpende Mkeo..Mwanamke Mtii Mumeo !!.

Nachokikazia kwako... MWANAUME anatafasiri matendo ,tabia ya mwanamke juu yake kama ndio kupendwa

Ukiwa na mwanamke ukimgombeza anakua mnynyekev, ukimuelekeza Anafata, akikosea a naomba msamaha, anakupikia, Ana kujali, anakupa mapenzi ,Ana kufanya ujione ni mwanaume bora, anakupa heshima kwa jamii .n.k n.k

Hayo yote kwa ujumla wake utasema "Nina mwanamke ananipenda sana "..... Huwezi kaa useme 'Nina mwanamke ananiheshimu sana".
 
Ngwair alishasema , Vitu vitano vya kumfanya mwanamke asikuache

1) Mpe hela
2) Mpe hela
3 ) We mpe hela
4) Nakwambia mpe hela
5) We mpe hela utaona tuu
Hapana , huko ni kumuendekeza Mwanamke.
 
Kama ushamuoa mko kwenye ndoa halari je?

Nipe mbinu za kuweza kuvunja ndoa yenye mwanamke aliye kinyume na ulivyoeleza

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
MR KUO ndo huheshimiwa Bwasheee, na kwakua hapaswi kuhukumiwa kwa niliyoyaandika, on the other hand yapi mengi mazuri yanayokukamilisha wewe.

Kilichobaki ni wewe kuendelea kumkumbusha sasa ,mfano... wife this time tunaenda Nyumban kuwatembelea wazazi...

Mengine yalobaki, ni Utumie ujanja tu ..mwanamke unaweza Fanya akakuheshim, akakutii, akathamin pesa yako, .... Naaa Kinyume chake pia ni kweli.
 
100% true, nina miaka 20 katika ndoa ,nimeona kama vile unamchambua mke wangu.

Hongera sana Karaoke. Utakua mume bora sana kwake.

Umeweza kumpenda kumtunza na kuitunza nafasi ya mume na yeye ameweza kuendelea kuwa mke yuleyule jana na leo, na ikawe na kesho pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…