Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya

Tafuta pesa uheshimike na mke wako, bila pesa ni majaribu tu.
 
Unasema?

 
Acha ibaki hivyo
 
Mwanamke aliumbiwa kumpenda mwanaume mmoja


Haya danganyaneni tu.....


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kama siomama yako au dada au binti yako wa kumzaa, basi hawa viumbe hata usipoteze muda wako kuwachukulia serious kabisaa maana hata wao muda huo hawana kuwa serious
 
Kuna point zinaukweli sana humo na zinasikitisha sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mwanamke aliumbiwa kumpenda mwanaume mmoja


Haya danganyaneni tu.....


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jamaa ana force kupigwa na kitu kizito kwenye kende
 
jamaa ana force kupigwa na kitu kizito kwenye kende
Hahaha wee lichukue hilo toka kwangu.

Mimi ni Mwanaume,lakini Nina wajua wanawake vilivyo.


Maisha tu ndo yanawafanya wawe WATU wa wanaume ovyoovyo .


UHALISIA WA MAMBO. TOKA KUUMBWA KWA ULIMWENGU.. MWANAMKE ALIUMBWA KUMPENDA MWANAUME MMOJA TU. NA NDIO MAANA USICHANA WAO WALIUPOTEZA KWA MWANAUME WA KUMUOA...

Kasome hata Biblia, ujione visa vya wanawake na mahusiano .

Utajifunza mambo mengi ya maana.

MOYO WA MWANAMKE NI KWAAJILI YA MWANAUME MMOJA TU.


Mazingira na maisha ndo yanafanya wawe watu wa wanaume, na kwa mantiki hiyo, HAWANA UPENDO WOWOTE , ... MWANAMKE HAWEZ KUPENDA WANAUME WAWILI , UKIONA ANA WANAUME WAWILI BASI UJUE. ALIYENAYE HAJAMPENDA.
 
Ngwair alishasema , Vitu vitano vya kumfanya mwanamke asikuache

1) Mpe hela
2) Mpe hela
3 ) We mpe hela
4) Nakwambia mpe hela
5) We mpe hela utaona tuu
Ha ha ha ..Bila hela utajichosha tu
 
Ok Asante Sana maana naona was kwangu anafanya hayo yote yaani pupitia andiko lako nimemjua kuwa kweli hanipendi huyu japo ndoa yetu ya kanisani na tunatafuta mwaka wa tano ndoani sasa

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe sijapendwa,sjui anatafuta nn kwang maana hata hela sko nazo kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…