Binafsi sijawahi kumponda single mother Hata siku moja humu.Sa unataka watu wazae na hawataki ????
This generation is full of funny men who criticizes women for aborting?! Hivi sio nyie ambao mnawapondeaga single mothers humu jamii forum...
🤝Anakutishia au anakutaarifu? ? ?
Mnaona akili za watu wa karne ya 21? ? ? Na bado hamuani kuwa no kizazi cha mwisho.
Abortion is modern day child sacrifice. Demonic.
And please these demonic women unapologetically flaunting killing their babies do not represent women. They represent demons. Demons in human form.
Some are not even women, unakuta mtu na makende yake mawili anajipostia...
Tumekuskia basi tutatumia vijiti 🎊Binafsi sijawahi kumponda single mother Hata siku moja humu.
Point yangu iko pale pale mana hujaijibu, kama una uwezo wa kutoa mimba kwann usitumie njia za kuzuia mimba?
Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk kama unataka utamu c utumie kalenda ili usiweze kupata mimba na utamu unaoutaka uko pale pale.
Ni wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.Abortion is not cruel that's why we both have free will in making choices
Yu Gerrit....
Ww ndiye mwenye mamlaka juu ya mwili wako mana n mali yako mana furaha au kilio Kitakuwa chako mwnyw 😎Tumekuskia basi tutatumia vijiti 🎊
Those were just my suggestions I don't support abortion and sio against it I'm neutral depending na Hali yenyewe ipoje
Hao unaowaita wapumbavu ukiwaelewa wanachokiandika hutowaita wapumbavu Tena.Ni wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.
Usicheze na mtoto wewe, unless hujakuza mtotoHao unaowaita wapumbavu ukiwaelewa wanachokiandika hutowaita wapumbavu Tena.
Jamani njia pekee ya uhakika ya kuzuia mimba ni abstinence, hata yenyewe sio asilimia 100% muulizeni Maria.kwann usitumie njia za kuzuia mimba?
Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk
Maana yake, ww pia usingezaliwa.Usicheze na mtoto wewe, unless hujakuza mtoto
Ndio ila kwa tamaduni za uko ulaya na america, kwa tamaduni za afirika mimba ni baraka sio laana..Kutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
Point yako n ipi? Cjaipata point yakoJamani pekee ya uhakika ya kuzuia mimba ni abstinence, hata yenyewe sio asilimia 100% muulizeni Maria.
Mostly hamna mtu atakuja kuwahadithia kuwa alipata mimba despite kutumia hizo njia, nyie mtaona tumbo / mtoto tu, story mtajaza wenyewe. Waulizeni manesi / madaktari , au ukibahatika kupitia vijiwe vya wamama mtandaoni wanaoongelea haya mambo..
Unwanted pregnancy huwa inachange kutokana ma situation. Mnaweza kukubaliana mzae, baada ya miezi miwili ukafukuzwa kazi. Tusidanganyane, ukimpa binti yangu mimba, unaitunza kwako/kwenu la sivyo nagharamia kuitoa. Mtoto ni liability ujueMaana yake, ww pia usingezaliwa.
Huwezi kushika mimba afu useme n kwa bahati mbaya wakat mlipokuwa mnalombana mlikuwa Mnajua n nn mnafanya hapo.
'Family planning' ni kuzuia mimba.Kutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
Uongo nasikia mwisho 3,kumi tenaKuna mimalaya ina vipaji,unakuta limetoa mimba zaidi ya kumi na likitaka kushika mimba linashika vizuri tu na kuzaa.
Point ni: Hizo njia sio guarantee ya kutopata mimba.Point yako n ipi? Cjaipata point yako
Yu are rightNi wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.
Kilio kinatoka wapi SasaWw ndiye mwenye mamlaka juu ya mwili wako mana n mali yako mana furaha au kilio Kitakuwa chako mwnyw 😎
Kaaa nimeishiwa pozi kwa siti.Mimi nshashuhudia mtu katoa mimba 7, na mpaka leo ana zaa sio mgumba wala nini, kuna watu wana vizazi vya kenge aiseee
Kilio kitatokea hapo hapo furaha inapotokeaKilio kinatoka wapi Sasa