figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ndo hii sasa.. Yaani hapa chochote atakacho unampa🤣🤣🤣Kuwekea kiganjani ni kutengenezwa na mwanamke kwa dawa za kiganga...
Anakufanya kama bwege chochote atakacho utampa...
Wewe ndo basi tena.. Hapo utamkana hata mwanao wa kumzaaNimekwishaje bwashe ebu jazia nyama kidogo, umetetemeka sana🤔
Hakuna kitu kama hichoWewe ndo basi tena.. Hapo utamkana hata mwanao wa kumzaa
Kuwekea kiganjani ni kutengenezwa na mwanamke kwa dawa za kiganga...
Anakufanya kama bwege chochote atakacho utampa...
Unasikiliza yeye tu..
Ashindwe kwa jina la Yesu, na mapepo yake tookaa nasema fayaaa moto moto motoo fayaaKuwekea kiganjani ni kutengenezwa na mwanamke kwa dawa za kiganga...
Anakufanya kama bwege chochote atakacho utampa...
Unasikiliza yeye tu..
Ikiwa YESU anakaa ndani yako ukisema hivi itakuwa ila ikiwa Shetani ndio anakaa ndani yako hata yeye atakucheka...Ashindwe kwa jina la Yesu, na mapepo yake tookaa nasema fayaaa moto moto motoo fayaa
Hata usipoamini haimaanishi hakuna kitu kama hicho...Nishawai sikiaga hii huko zamani ila siamini huu uswahili
sina mashaka na imani yangu maana inaambatana na matendo. Sema amina!Ikiwa YESU anakaa ndani yako ukisema hivi itakuwa ila ikiwa Shetani ndio anakaa ndani yako hata yeye atakucheka...
Hahahaaaaa🤣🤣🤣.. Sasa hivi ana hasira. Udiwani kakosa kura za kutoshaHuyu ni Lucas Mwashambwa? Kichwa kama bilinganya liache limalizwe! Ona lilivyotulia!
naona jamaa kaloweka kichwa cha juu na kukipumzisha anafikiria kwa kichwa cha chiniUtajuaje Mwanamke kakuweka Kiganjani?
Kwenye mapenzi Viganja si vya Mikono bali ni hivi👇🤣🤣
Ukishawekwa Mkao huu jua umekwisha😂😂
View attachment 3421958
Mi napajua chumvini subiri wazamiaji wake 😂😂Kwani chumvini mnazamaje nyie wanaume wenzetu? Tujuzeni hapa
🫣🫣😆Mi napajua chumvini subiri wazamiaji wake 😂😂