Mwanamke akishapoteza usichana wake hana tena thamani ya kuchagua wanaume

Mwanamke akishapoteza usichana wake hana tena thamani ya kuchagua wanaume

Yani sisi wanaume bwana kila mtu anataka bikra ila sisi ni malaya mbwa hapo
Ulipo ushalala na wanawake hata 10 tofauti ila unataka bikra hahaha
Amelala na wanawake 10 lkn hajabahatika kupata bikra hata moja, Kuna tatizo akiendelea kutafuta?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda mashetani km yapo lkn ..

Amesahau km cc wanaume ndio waharibifu wa hao mabinti .[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]mashetani
 
Kumbe huwa mnautaka ila maringo ni drama tu, hivi kumbe mdada anaweza kuwa na nyege kibao halafu anaamua kufa kijerumani na tai shingoni...
💯

Tena hasa kama amejipata, au mzuri sana, au ana cha zaidi. Mwingine hana hivyo vyote ila ana kitu kinaitwa “femininity” hii kitu na maringo ni ndugu, watu wanabaki kushangaa huyu nae anaringia nini? Anaringia ukike. Haya yote yanasabisha Standard zinakuwa high hata kama upwiru una kaba koo. Japo Ukikaza vizuri unakula!

Sitakufundisha kila kitu 😅
 
Wanawake wana uwezo mkubwa kupambana na tamaa za kimwili... lakini once upwiru ukimfika shingoni huwa wanakuwa kama vichaa, yaani akili ni kama inaruka hivi.. huwa sielewi..
 
Mwanamke akishapoteza bikra hana tena cha kupoteza mbele ya mwanaume yeyote atayekuja mbele yake
 
Back
Top Bottom