Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili.
Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika vyakutosha na asilimia kubwa ya wanawake waliochora Tatto ni maharage ya Mbeya, ukiwa na mwanamke amechora Tattoo basi tambua huyo ni chawote.
Wanawake wengi wanajuta baada ya kufika umri flani wakiwa bado wana Tattoo kwenye miili yao tena sehemu za wazi kabisa, kwa nchi za wenzetu huko America mama mtu mzima wa miaka 50 au 60 hata akiwa na Tattoo bado atapata heshima ileile toka kwa watu aliowazidi umri ila kwa nchi zetu za Africa hasa hapa Tanzania ukiona mtu mzima mwenye umri wa miaka 50 au 60 ana Tattoo hapo hapo unaanza kumkadiria heshima ya kumpa kulingana ni jinsi alivyouchora mwili wake kwa Tattoo.
Huwa najiuliza msichana wa kitanzania huwa anawaza nini mpaka kuamua kuchora Tattoo ya tako au kwenye maziwa.Kuchora Tattoo gharama ni za kawaida sana and it is very easy to afford ila ukitaka kufuta aiseee ni very expensive tena unatakiwa uende nchi kama South Africa au nchi nyingine za ulaya ndo kuna wataalamu wazuri wa kufuta.
Je wewe mwanaume mwenzangu unachukuliaje unapoona mwanamke unaempenda amechora Tattoo au mpenzi wako anakuomba akachore Tattoo ?
Karibuni tupeane uzoefu