Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

Suala la tattoo sio hoja ya msingi kwamba mwanamke huyo ni malaya kwani halina uhusiano wowote na uzinzi na unaweza kukuta hata huyo asie kuwa na tattoo ndio malaya hatari nakushauri usikalili kuwa huru kupenda yoyote lakini kuwa positive na kumuelewa mwenza wako kwamba ni sahihi au sio sahihi kuhusu tattoo mtaenda hata kufuta kama mtakubaliana na penzi lenu likawa zuri kupita kiasi
 
Mwanamke akishachora tatoo( kibongobongo) huyo ameshakubuhu kwenye uhuni

NB: wanawake wote wenye tatoo ni wahuni
Ila wasio na tatoo sio wote watakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…