Sheffer95
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 211
- 515
Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo
Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na baadae kidogo ina Anzatena
Sasa alipoenda hospitali akapewa vile vidonge vya uzazi wa mpango
Ila baada ya kuanza kutumia, maritime yake yamekuwa makubwa au kuvimba kidogo huku titi la kulia likiwa na maumivu na pia la kushoto likiuma sehemu ya chuchu
N.B kipindi anaanza tumia dawa hizi za uzazi wa mpango alikuwa akiendelea shiriki tendo la ndoa
Je anaweza akawa amepata ujauzito, au ni side effects za hizo dawa
Karibuni wajuzi