Satisfy
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 147
- 237
Kuna huu msemo .
Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho.
Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake.
Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi na izo mimea .
Hii kitu nimeikuta kwa jamaaa mmoja ambaye ni mkulima mwenzagu.
Yule jamaa analaumu kuwa hoho zake zime kauka baada ya kuruhusu wanawake kuchuma, akawa anaimani ya kuwa may be kati yao alikua period.
Naomba tuwekane sawa hili jambo kama lina ukweli ndani yake au laa.