Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.

 
Rahaa saana upate muda uwahi home papikwe, uoge usubiri kumkaribisha father house nyumbani
 
Ni kweli ni raha ila mara nyingi inawezekana pale ambapo hawazi marejesho, ada, saluni, mavazi, malazi, chakula sababu ana mume. Tatizo linaanza pale ambapo mume anataka mke naye awajibike. Kwa uchumi wa leo, hilo igizo ni gumu.
 
Teh! Teh! wanabadilika hawa viumbe zaidi ya kinyonga
yani awe na elimu ya chuo, kaajiriwa, kwao pesa ipo, n. k mkikwaruzana kidogo tu anaanza mambo ya kupelekana mahakamani muachane
 
Akina Amadala ndio tupo tumejaa nipo mzigoni Hadi Sasa hivi
 
Wote tunatoka kusaka mihela, tukirudi hamna mikiss wala nn ni habari ya kushinda? Huyo wife aingie jikoni mara watoto mara hiv mara vile mnataka kupumzika maana asubuhi pilika zipo palepale.
[ATTACH type="full said:
2371817[/ATTACH]
 
Back
Top Bottom