Ni kweli ni raha ila mara nyingi inawezekana pale ambapo hawazi marejesho, ada, saluni, mavazi, malazi, chakula sababu ana mume. Tatizo linaanza pale ambapo mume anataka mke naye awajibike. Kwa uchumi wa leo, hilo igizo ni gumu.
Wote tunatoka kusaka mihela, tukirudi hamna mikiss wala nn ni habari ya kushinda? Huyo wife aingie jikoni mara watoto mara hiv mara vile mnataka kupumzika maana asubuhi pilika zipo palepale.