Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

Noma sanaa...unakuja mpaka geto kwangu kucheza karata au kupiga story..??
Nlivokutongoza ukanikubalia ulitarajia nini..niwe kakako au?
Utatoa hutoi...

Hahaha vivulana vya siku hizi
Mapenzi yenyewe hawajui hata maanake nini..mi mwanaume akitanguliza kuomba papuchi nampa kibuti siku hiyo hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wakongwe huwa wanawavutia kasi kwanza kabla ya kuingiza gear.
 
Noma sanaa...unakuja mpaka geto kwangu kucheza karata au kupiga story..??
Nlivokutongoza ukanikubalia ulitarajia nini..niwe kakako au?
Utatoa hutoi...

Hahaha vivulana vya siku hizi
Mapenzi yenyewe hawajui hata maanake nini..mi mwanaume akitanguliza kuomba papuchi nampa kibuti siku hiyo hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake hapo ndio mnaponichosha, unatongozwa vizuri tu na unakubali ila sasa linapokuja swala la kutoa papuchi inaanza stage nyingine ya kutongoza kwa ajili ya papuchi, sasa mwanzo ulikubali nini?

Hapana..sio hivo
Unapokua na haraka unafanya mwanamke awe na mashaka.
Kama mwanamke umempenda kwa dhati na una malengo nae haraka ya nini?
Huyo ni wako tu..hata ipite mwezi huyo ni wako tu.
Mwanaume hushindwi kutongoza na ukaomba mzigo siku hiyo hiyo.....halafu kesho ankublock

Hivi fikiria reaction yake mwanamke akiomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa?...

Unaweza usiombe siku hiyohiyo ikapita hata wiki mbili ndio uombe lakni bado utaambiwa usiwe na haraka au mwanamke anakuambia nitakujulisha mimi, hiyo utasubiri mpaka jua lizame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sanaa...unakuja mpaka geto kwangu kucheza karata au kupiga story..??
Nlivokutongoza ukanikubalia ulitarajia nini..niwe kakako au?
Utatoa hutoi...

Hahaha vivulana vya siku hizi
Mapenzi yenyewe hawajui hata maanake nini..mi mwanaume akitanguliza kuomba papuchi nampa kibuti siku hiyo hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa...mana haka kakitu kamekuwa ibada kwao, utasikia njoo basi tupige stori...ukisikia hivyo ujue hicho kitabu kitasomwa hadi DIBAJI...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nisehemu ya urembo bro tongoza kila tambaaa
 
Back
Top Bottom