Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

Wao wakisema wanataka pesa tubakimbi hanhaa
 
Labda nikute bwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
Naona umetanua soko kidogo, jiandae tunakuja!
 
Hahahah hio inaitwa 90 Day Rule kule mamtoni. Ila yako hio ni 30 Days Rule. Unamchelewesha mwamba tu kama sio mvumilivu au hayupo serious ndani ya hizo siku lazima atasepa kimyakimya, ila kwa wavumilivu kupigwa mashine ni uhakika na kuachwa ni compulsory!
 
Hakuna mademu ninaowachukia kama wavaa mawimbi... Kwa wengi wao ni wabaya.. Hv demu umeumbika vizur sur ,kichwa hadi mwili.. Hilo wigi ni la kazi gani...?
Hahahah si wana enhance muonekano mkuu, mie wangu nimemkata nywele yupo kama alivyokuwa form 4
 
Unaweza usiombe siku hiyohiyo ikapita hata wiki mbili ndio uombe lakni bado utaambiwa usiwe na haraka au mwanamke anakuambia nitakujulisha mimi, hiyo utasubiri mpaka jua lizame

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa xpiriento yangu ndogo mwanamke mwenye mapigo ya "Ntakwambia", "Ntakujulisha", "Subiri ntakutafuta" ujue wala hakuwazii hata kidogo, hapo ni sawa sawa na kusubiri ndege TPA.
 
Turn off ni vikuku mguuni, mengineyo ntavumilia ila sio kuwa umevaa kikuku miguuni. Ukiongezea na kujipara ndio dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…