Mwanamke akiwa na assets nyingi anakuwa anafanya kazi gani?

Kaa nae mbali huyo mkuu, hasa kama mnakaa mtaa mmoja au ni watu ambao mnapishana kila siku basi jitahidi uwe mbali nae... ila ingekua ni mtu wa mbali na unapokaa yaani sio watu mnapishana mara kwa mara ungepita uukonge moyo wako, ila huyo unamfahamu hadi jamaa yake na usikute jamaa huwa mnasalimiana kabisa, hapo pabaya. Chakufanya waombee dua mbaya waachane ili nawewe ukae,

Kuhusu kazi anayofanya wewe ndio uko karibu nao so fanya uchunguzi utuletee mrejesho.

Kwenda Congo, yawezekana ni dereva wa malori or mfanya biashara wa mbao na kadhalika.
 
Mkuu upo vizuri kwenye ujibuji wako yaani umejibu safi kabisa tena kwa kufata kipengere kumoja kimoja..

Nipo tayari kufata ushauri wako mkuu hasa tajikita zaidi kwenye kuomba duwa waachane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…