Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #21
Mkuu kuna mke na duu..Kuwa makini mkuu hatashindwa kukufanyia lolote baya akagundua unavzia mali yake
Hapo je ni vipi anifanyie baya wakati na yeye ajaoa ..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna mke na duu..Kuwa makini mkuu hatashindwa kukufanyia lolote baya akagundua unavzia mali yake
Gharama anazogharamikia huyo mpenzi yakeMkuu kuna mke na duu..
Hapo je ni vipi anifanyie baya wakati na yeye ajaoa ..?
Mkuu mimi sio afisa usafirishaji...
Kumbe wote tupo kwenye kinyang'anyiro mkuu...Gharama anazogharamikia huyo mpenzi yake
Member toka 2013 alafu una comment kama hivi...Sasa mbona una comment mwenyewe?
Haukuwahi skia watu wanauana kisa mpenzi na sio mke? Kisa ni nini? Yaani mtu anawaza A b c d e zake kichwani anaamua kutoa /kutoana roho ya mtuKumbe wote tupo kwenye kinyang'anyiro mkuu...
Hivi kweli uweke rehani utu wa mwenzako kisa mtu ambaye ujaoa kweli
Sasa hapa mkuu nimekuelewa vizuri zaidi...Haukuwahi skia watu wanauana kisa mpenzi na sio mke? Kisa ni nini? Yaani mtu anawaza A b c d e zake kichwani anaamua kutoa /kutoana roho ya mtu
Akiamka tu utaona likes kila commentraraa reree
Ushalala mda huu ahahah
Nilikua najua roboto kumbe ni mwamba tiiu ahahhaha sasa hvi yupo anaota huko alipo ahahahaAkiamka tu utaona likes kila comment
Kwani we huoni shida ipo kwako? Hao unaowatag huwa wanawekwa kwenye thread na alieanzisha,Member toka 2013 alafu una comment kama hivi...
Kuna shida mahali mkuu...
Sawa fazaKwani we huoni shida ipo kwako? Hao unaowatag huwa wanawekwa kwenye thread na alieanzisha,
Nasio kama wewe sehemu za wachingiaji ndio una reply mwenyewe
Au kama una usingizi subiri kupambazuke utilize wenge
Kaa nae mbali huyo mkuu, hasa kama mnakaa mtaa mmoja au ni watu ambao mnapishana kila siku basi jitahidi uwe mbali nae... ila ingekua ni mtu wa mbali na unapokaa yaani sio watu mnapishana mara kwa mara ungepita uukonge moyo wako, ila huyo unamfahamu hadi jamaa yake na usikute jamaa huwa mnasalimiana kabisa, hapo pabaya. Chakufanya waombee dua mbaya waachane ili nawewe ukae,Habari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na hisia.
Ukiachana na ushauri wa DR HAYA LAND sijui mambo ya retention ila kuna kitu sasa kwangu kimekua shida.
Katika harakati zangu hizi nazofanya mda mwingi nakua karibu na wadada. Tena unakuta wadada wale konki watoto watoto kweli.
Lakini pia acha hao watoto kuna mashangazi pia kuna wake za watu.
Hapa kwenye wake za watu nilishawahi kufatwa na wahuni wa hapa hapa wakanipa short description kuhusu wake za watu.
Ila walisema kwa utani utani tu..
On point ipo hivi. Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
Ahahaha🙂🐥🐥🌚🌚
Pumzika kesho mapema uwepo hapaNimechoka acha nilale sasa
Mkuu upo vizuri kwenye ujibuji wako yaani umejibu safi kabisa tena kwa kufata kipengere kumoja kimoja..Kaa nae mbali huyo mkuu, hasa kama mnakaa mtaa mmoja au ni watu ambao mnapishana kila siku basi jitahidi uwe mbali nae... ila ingekua ni mtu wa mbali na unapokaa yaani sio watu mnapishana mara kwa mara ungepita uukonge moyo wako, ila huyo unamfahamu hadi jamaa yake na usikute jamaa huwa mnasalimiana kabisa, hapo pabaya. Chakufanya waombee dua mbaya waachane ili nawewe ukae,
Kuhusu kazi anayofanya wewe ndio uko karibu nao so fanya uchunguzi utuletee mrejesho.
Kwenda Congo, yawezekana ni dereva wa malori or mfanya biashara wa mbao na kadhalika.