Mwanamke akiwa na assets nyingi anakuwa anafanya kazi gani?

Una miaka mingapi?
 
"Tunapitia hali ngumu ya maisha" wewe nanani, mumeo au mkeo?

Tanzania ina neema leo kuliko wakati wowote, binafsi nashukuru AlhamduliLlah sijawahi kupitia hali ngumu ya maisha Tanzania.

Tanzania hii ambayo kama huna kuka unakwenda kwa mjomba au shangazi unakula na kusepa na unaweza kudeka upikiwe nini, leo una kauli ya kusema "tunapitia hali ngumu ya maisha"?

Unailinganisha Tanzania na wapi?
 
Asset nyingi ndio unamaanisha nini haswa?? Makochi na tv au nyumba au nini? Maana kitu kikiwa zaidi ya kimoja ni vingi
 
Shangazi angu kula hapa mjini sio ishu...
Ishu ni pa kulala..

Unaweza ukapuyanga puyanga wee mchana kutwa ila ikifika jioni lazima akili itakukaa sawa.

Nateseka mimi na nafsi yangu shangazi....

Na sio mda wote utakaa kwa shangazi au kwa mjomba.
Nazani hata wewe una experience hiko kitu..

Kuna umri ukifika lazima ukajitafute kwahyo kama wewe umekuta mambo poa kwako sio wote ndo ipo hivo shangazi....
 
FaizaFoxy shangazi angu kuna mda napata wasi wasi na wewe...
Sijuo ni miongoni mwa wazee wa hovyo humu
Wewe ndo wa kuandika madudu haya
"""Tunapitia hali ngumu ya maisha" wewe nanani, mumeo au mkeo?

Kama mtu ambaye umesoma nilichoandika hapo sizani kama kulikua haina haja ya kuandika maneno kama hayo..

Kuna mda naona unatakaga ligi tu.
Shame upon you
 
Dogo, assets huwa hazikai ndani. Sijui mwenzetu definition yako ya asset ni ipi?
TV, Fridge, freezer, ndio unasema asset?
 
Vita yako na wazee imeisha? Yahurumie marinda yako dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…