Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Habari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na hisia.
Ukiachana na ushauri wa DR HAYA LAND sijui mambo ya retention ila kuna kitu sasa kwangu kimekua shida.
Katika harakati zangu hizi nazofanya mda mwingi nakua karibu na wadada. Tena unakuta wadada wale konki watoto watoto kweli.
Lakini pia acha hao watoto kuna mashangazi pia kuna wake za watu.
Hapa kwenye wake za watu nilishawahi kufatwa na wahuni wa hapa hapa wakanipa short description kuhusu wake za watu.
Ila walisema kwa utani utani tu..
On point ipo hivi. Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?