Mwanamke akiwa na assets nyingi anakuwa anafanya kazi gani?

Mwanamke akiwa na assets nyingi anakuwa anafanya kazi gani?

Haya ni maneno tu ya ukali, hayadhuru, subiri kufanyiwa vitendo vya kikatili.
Biblia imekuonya, usitamani Mali ya jirani yako, wala punda wake, wala ng'ombe wake, wala shamba lake, wala chochote alichonacho jirani yako.

TAMAA ILIUA FISI.
Duuuh unafanya nianze kuogopa sasa...
Mkuu mtu hata ukute ajaoa bado ya nini kuogopa..
 
Duuuh unafanya nianze kuogopa sasa...
Mkuu mtu hata ukute ajaoa bado ya nini kuogopa..
Si umesha ambiwa usitamani chochote alichonacho jirani yako, yaani usitamani hata demu wake wala mchepuko wake.

Endelea na ubishi, ila kaa ukijua mauti yako iko malangoni mwako.

Mchepuko/ hawara anauma kuliko mke
 
Back
Top Bottom