Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi😃😂Sasa mbona una comment mwenyewe?
kakinichanganya | Hujawa na mahusiano naye tayari anakuchanganya, Tafakari, Je ni vipi ukishakuwa naye kwenye mahusiano na ukajagundua yaliyofichika, Je hali yako itakuwa vipi? Je kazi itafanyika kweli?, Epuka mahusiano sehemu ya kazi mwisho wake huwa si mzuri.Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
kwasababu huyo dada mmezoeana na anakuelewa, ukienda nae vizuri ki saikolojia, utajua huyo jamaa anaendaga Congo kufanyaje, na hizo asset zake kapataje kama ndo anahidumiwa na huyo jamaa,Habari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na hisia.
Ukiachana na ushauri wa DR HAYA LAND sijui mambo ya retention ila kuna kitu sasa kwangu kimekua shida.
Katika harakati zangu hizi nazofanya mda mwingi nakua karibu na wadada. Tena unakuta wadada wale konki watoto watoto kweli.
Lakini pia acha hao watoto kuna mashangazi pia kuna wake za watu.
Hapa kwenye wake za watu nilishawahi kufatwa na wahuni wa hapa hapa wakanipa short description kuhusu wake za watu.
Ila walisema kwa utani utani tu..
On point ipo hivi. Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
Mkuu kwanini unatafuta matatizo ya kujitakia?Habari za humu ndani

Sijasoma comments zote ila Kuna vitu viwili ama vitatu huyo jamaa wa Binti anafanya;Grahams ukuje hapa mtetezi wa wazee wa ..
Mambo ya wadada waachie wadada wenyewe wanazaliwa na mitaji. Madada hapa mjini wanasukuma hadi ndinga za milion 200 na kazi hawana.Habari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na hisia.
Ukiachana na ushauri wa DR HAYA LAND sijui mambo ya retention ila kuna kitu sasa kwangu kimekua shida.
Katika harakati zangu hizi nazofanya mda mwingi nakua karibu na wadada. Tena unakuta wadada wale konki watoto watoto kweli.
Lakini pia acha hao watoto kuna mashangazi pia kuna wake za watu.
Hapa kwenye wake za watu nilishawahi kufatwa na wahuni wa hapa hapa wakanipa short description kuhusu wake za watu.
Ila walisema kwa utani utani tu..
On point ipo hivi. Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
Very sadAnachukulia easy
Boss katika vitu vinavyosababisha kusikia mtu kauliwa ukiachana na migogoro ya ardhi basi inayofuata ni mahusiano.Sea Beast
Najua wewe una kitu mkuu maana una vitu
AiseeHabari za humu ndani
Mabibi, Mabwana na Nk.....
Jamani nimekaa nikiwaza mda huu usiku wa 1:07 Am usiku.
Ni kweli tunapitia hali ngumu ya maisha lakini hii sio sababu ya kukufanya kutoweza kuwa na hisia.
Ukiachana na ushauri wa DR HAYA LAND sijui mambo ya retention ila kuna kitu sasa kwangu kimekua shida.
Katika harakati zangu hizi nazofanya mda mwingi nakua karibu na wadada. Tena unakuta wadada wale konki watoto watoto kweli.
Lakini pia acha hao watoto kuna mashangazi pia kuna wake za watu.
Hapa kwenye wake za watu nilishawahi kufatwa na wahuni wa hapa hapa wakanipa short description kuhusu wake za watu.
Ila walisema kwa utani utani tu..
On point ipo hivi. Kuna kadada hapa aisee kamekua kakinichanganya sana medulla oblongata yangu.
Kwanini kananichanganya. Kwanza ni kadogo kadogo. Lakini pia ni kazuri kweli kweli na kameanza kunizoea kiasi ambacho........ Mmmh au basi Ukute jamaa yupo humu
Sasa jambo linalonipa shida huyu mdada kuna mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Mdada ndani ana asset kama zote kwa haraka haraka unaweza sema ameolewa ila mmmh hapana...
Na kama ajaolewa je huyu jamaa ake atakua anafanya kazi gani...?
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
Je mtu mpaka unaambiwa anaendaga congo what means ni mjeda au kuna nini kingine kongo huko...?
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
Umejuaje mkuu?na huyu jamaa ake ni shababi kweli kweli..
Ahahahah sawa mkuu shukrani sasa mwalimu hapa nimekuelewa..kakinichanganya | Hujawa na mahusiano naye tayari anakuchanganya, Tafakari, Je ni vipi ukishakuwa naye kwenye mahusiano na ukajagundua yaliyofichika, Je hali yako itakuwa vipi? Je kazi itafanyika kweli?, Epuka mahusiano sehemu ya kazi mwisho wake huwa si mzuri.
-
mda anakuaga na jamaa ake na huyu jamaa ake | Hii ni sababu tosha kabisa ya wewe kutokuwa na mahusiano naye, Kwa busara ya kawaida haishauriwi kula "mtu ambaye tayari unatambua ana mtu wake"
-
Na je hivo kula demu wa mtu adhabu utapata sawa sawa kama ya aliyekula mke watu....?
| Linapokuja swala la zinaa, hakuna tofauti, Do at your own risk,
-
La mwisho hivi mdada mpaka anakua na asset nyingi ndani kwa haraka haraka atakua anafanya kazi gani....?
| Sikutegemea kuona swali kama hili, hauko serious kwa kweli.
Mkuu hatariii na nusu daaah sema mapenzi ni hatariii sana..... UjueSi umesha ambiwa usitamani chochote alichonacho jirani yako, yaani usitamani hata demu wake wala mchepuko wake.
Endelea na ubishi, ila kaa ukijua mauti yako iko malangoni mwako.
Mchepuko/ hawara anauma kuliko mke
Sawashida imeanzia hapa. ww huwezi kuwa mwanaume kwa muandiko huu
Ahahahahah wewe skia mkuu haliwi mtu hapa..STUKA MKUU
Huyo jamaa ni mteja wangu wa hapa Congo na mara nyingi hua nampa vumbi kama zawadi huwa anagoma
Cha ajabu wiki hili kanambia kabisa nimtafutie wanapouza lile Original anashida nalo sana..
Potelea mbali bana ...kwasababu huyo dada mmezoeana na anakuelewa, ukienda nae vizuri ki saikolojia, utajua huyo jamaa anaendaga Congo kufanyaje, na hizo asset zake kapataje kama ndo anahidumiwa na huyo jamaa,
ila kwakua wewe umeshamkuta jamaa kwa huyo demu,
jamaa anaweza akawa hajamuoa ila hujui akini mwake plan zake zipoje,
utakuta labda yeye ndo anamuhudumia na hizo asset na kodi amechangia kwa kiasi kikubwa ?
Naacha naaachaMkuu kwanini unatafuta matatizo ya kujitakia?
Nature imekuonya hapo Sasa wewe endelea kuto sikia.
Ahahahahha that way nikasema wewe kwenye ushauri ni genius.Sijasoma comments zote ila Kuna vitu viwili ama vitatu huyo jamaa wa Binti anafanya;
Inaweza kuwa ni dereva wa magari ya mizigo yaendayo Congo n.k
Ama ni askari wa kulinda amani waliopo Congo japo hili Sina hakika nalo maana wale wakienda huwa wanakaa zaidi ya Mwaka ndiyo hurudishwa na kupelekwa askari wengine.
Pia huenda jamaa ni mtu wa drugs, wale ambao husafirisha mzigo ama kufata mzigo na kuuingiza Bongo..
Lakini pia huyo Dada huenda anafanya shughuli za kuuza mwili, hii biashara inafanywa sana na Wadada wengi hapa Mjini.
I once met mmoja wa binti Fulani, anafanya hiyo biashara Kwa Siri sana bila mumewe/Mpenzi wake kujua. Alikiri kwangu as nilitumia mbinu za kimedani katika kupata ukweli wa kaz yake.
Yeye anafanya online delivery, ana simu mbili Moja ni ile mumewe/Mpenzi wake anaijua na nyingine ni hiyo maalumu Kwa kazi hiyo.
Kwahiyo Kuna Chumba amepanga sehemu ambacho mumewe hakijui, na anatoka asubuhi kama mumewe afanyavyo kuwa anaenda Kazini.
Kurudi nyumbani ni saa 4 usiku Kila Siku 🙌
Ukipishana naye njiani unaweza kumuomba namba, maana ananukia vizuri na yupo na usafiri binafsi kabisa (ana drive).