Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Niambie Tu Kumwacha tu bila kumsaidia ni Utoto, though Kuna wengine ukiwaambia ndio kamwe hatakaa akusemeshe, anakuchukia ila ukipata atakayekuwa muelewa na kukubali ni jambo la heri.Mwanaume ni kiongozi,unashindwa nini kumsaidia aondokane na hiyo harufu?
Poleni sana mabinti wa kizazi cha sasa kwani mnagombea nafasi moja ya kuolewa na vijana wa sasa wanaowananga na kuwadhalilisha kutwa humu ili mkose kujiamini ili waolewe wao.Mwanaume ni kiongozi,unashindwa nini kumsaidia aondokane na hiyo harufu?
mwanzo nilijua hii tabia ninayo peke yangu dah na ukweli huwa napotezaga hamasa ya kiwa naye karibu tena kila nikiikumbuka hamu yote inakataHabari.
Mimi sijui nina shida gani wazoefu.
Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu.
Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
Mzee wa kulima mchicha hadi mkoroshoMchagua jembe hawezi akawa mkulima aiseee....
Kumsaidiaje?Mwanaume ni kiongozi,unashindwa nini kumsaidia aondokane na hiyo harufu?
Na wewe ukiwa na Uvundo, uachwe?Habari.
Mimi sijui nina shida gani wazoefu.
Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu.
Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
Wekeni picha ya Pipytida hapaMwenye picha ya mwanamke yeyote yule anayetoa harufu atuwekee hapa ili kusindikizia huu uzi.
ni muhimu sana na ni vizuri kusaidiana na kuambiana ukweli mtupu gentleman, bila aibu wala kificho au kuvumilia harufu kali na mbaya sana.Habari.