Mwanamke akiwa na harufu namuacha aisee

GENTLEMAN,

Lecturer wangu...huyu ndie Lecturer wangu ninae mjua.

Ila Sasa akiwa KULE kutetea ugali wake πŸ˜πŸ˜‚
 
Dawa yake uache umalaya(umeeleza mwenyewe kwamba ni mtu wa kubadilisha wanawake sana) Rudia ulichokiandika haporjuu.Oa/tulia na mtu wako mmoja aliye na "harufu"njema/anayenukia vizuri kadiri ya mapenzi yako.
 
GENTLEMAN,

Lecturer wangu...huyu ndie Lecturer wangu ninae mjua.

Ila Sasa akiwa KULE kutetea ugali wake πŸ˜πŸ˜‚
Gentleman,
sikoseagi kokote nitakapokua,
kwasababu ninao ushauri muafaka, ninayo maoni binafsi, ninayo mawazo mapya na fikra mbadala karibu katika kila jambo la kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,

Na kabisa,
sinaga uchoyo wala sijivungi kabisa kushirikisha uzoefu wangu au ubobevu wangu katika mambo hayo
 
Kuna Jamaa alikutana na hiyo harufu mbaya zaidi anadai alipiga ndole ,mbona ilibidi akifunge kidole bandeji Ili kukata shombo lakini wapi baada ya siku mbili ikibadi awe ananawia mafuta ya taa ndio ikakata.
 
Kisamaki noma mzee mwenzangu. Wajifanyie usafi na kutafuta tiba
 
Mwanaume ni kiongozi,unashindwa nini kumsaidia aondokane na hiyo harufu?
Wanaotema huwa wagumu wa kutoa mzigo kwa hofu ya kuachwa,means wanajijua!!

Mwanaume ni kiongozi ila siyo Gynecologist,anamsaidiaje?
 
Mbona leo zimejaa mada za harufu kwa wanawake....kulikoni?
Inanuka mkiambiwa ukweli mnanuna

Kongole kwa Mchepuko wangu anajua kuikosha nadhani haya madhira ni sehemu ya Medani zake
 
Inanuka mkiambiwa ukweli mnanuna

Kongole kwa Mchepuko wangu anajua kuikosha nadhani haya madhira ni sehemu ya Medani zake
Hongera zake mno ni hatua kubwa katika maendeleo ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…