Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kuchomwa na kisu.
Mwenyekiti wa Sinza, Ally Mgaya, amethibitisha kutokea kwa kadhia hii. Pia, mmiliki wa nyumba ya kulala wageni hiyo alielezea uhusiano wake wa kazi na Aisha kabla ya kifo chake.
Video: Manara TV
Pia, Soma:
+ Miili ya wanawake wawili yaokotwa Dodoma