Mwanamke alikuwa chanzo cha mimi kunywa pombe

Kwamba (Ila jamaa alikuwa anasifika vibaya kwa kuchapa mademu.
Na wife alikuwa anaonesha kuchukia Mimi kuwa na rafiki wa aina hiyo.)

Afu badae wife aka liwa na mtu anae mchukia ,,[emoji41]pole sana
Ukimchukia jinsia tofauti baadae utampenda
 
Blaza umefanya maamuz mazuri sana, endelea kula tungi had yule jamaa aliyeweka MIKONO JUU AISHUSHE
 
Da nyuzi hizi na michango ya wanawake inatia maumivu zaidi.
Heri kuwazalisha maana ukimilikindio kuliwa n nje nje
 
Ulivyosema tu "nilikuwa nina rafiki yangu", nikajua tayari
 
Ulivyosema tu "nilikuwa nina rafiki yangu", nikajua tayari
 
Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Hahhahahahahhaahahahah,,, umefenya nicheke balaaaa
 
Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Nauunga mkono juhudi
 
Asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…