love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Tuliamini (na bado kwangu IPO hii), kuwa mwanamke akipenda, hupenda mazima. Ndio maana huwa vigumu kuchepuka. Ikitokea Upendo akauhamishia kwa mwingine, basi baba Chanja nyumbani yu matatani. Kama si kumuua (kwa wale ndugu zangu wa ukanda fulani) basi atafanya visa apewe talaka.Eeehh , so akinichepukia nisamehe tu sababu "Sitokufa" .....au maana yako ni ipi Mkuu??
Nahuu utofaut kati ya me na ke unaozungumzia ni wa nyanja ipi??
Wakati huo me anaweza chepuka, na lady mpya asiwe moyoni mwake kabisa. Baada ya hapo mapenzi yakaendelea kwa mkewe kama kawaida, na heshima kwa mke ikawa juu.
Mabadiliko yaliyotokea sasa, kwa sababu yoyote ile, mke anaweza akaongozwa na emotions, akachepuka na bado akampenda/akabaki na mumewe. Mfano, mume anaweza Fanya cheating, mke kama sehemu ya kutuliza hasira/uchungu wake anaweza lala na mwanaume na baadae akarud nyumbani na ndoa ikaendelea tena.
Mke wa mleta uzi alikwenda "kujaribu", ila inaonyesha mumewe bado anampenda.
Zipo sababu nyingi zinazopelekea ladies kufanya hivyo huku wanawapenda waume zao.
Utofauti ninaouzungumzia ni huu wa uchepukaji. Tumezoea wanaume wanaongozwa na emotions na ladies feelings. Lakini siku hizi,,,, ngoma inaelekea kuwa droo kama Jana tu ilivyotokea kwa Mchina!!
ANGALIZO:
Siungi mkono uchepukaji. Ila nipo kwenye jamii na nayashuhudia mengi tu