Hao ndo wanawake na huyp ndo mchizi ambaye anaweza kuchoreka km muhuni, ila kwa akili za wanawake, bado watajilengesha ili kujua yaliyomo[emoji3]
Pole kamanda..... Ila pole kwa ufala wako ukidhani kunywa pombe ndo umetatua tatizo.
Mimi Hata nikiwa nmezaa naye watoto watatu , ATAKAPONISALITI nkajua,LAZIMA YEYE +NGUO ZAKE+ELIMU NA MAKOROKORO YAKE ,AJIBEBE AENDE UKO ANAKOTAKA KWENDA KWASABABU MACHON MWANGU SITOTAKA NIONE SURA YAKE HATA KAMA ATAOMBA MSAMAHA ANALIA CHOZI LA DAMU.
Unajua kwann??? Mwanamke akishakuchepukia,, 100% uwezekano wa ww kufa au kuyumba ni mkubwa, SASA BINAFSI KAMOYO KANGU NAKAPENDA NA SITOKUA TAYAR KUBEBA MSALABA WA MTU MZIMA.