Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wangoni.
Ila wanaongoza kwa kula wake za marafiki zao.
Tusiwaamini hawa marafiki zetu hasa tuliowafanya ndugu. Tunajisahau nankuwaona ndugunzetu.
Juzi mmoja kanipiga ila sio masuala ya mapenzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Umepotea jukwaani mkuuMimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Nmejikuta nacheka pekeyanguMimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Hapa ndipo Jamaa alipokosea. Alikuwa na rafiki kito**I na rafiki akafanya kweli.Kwamba (Ila jamaa alikuwa anasifika vibaya kwa kuchapa mademu.
Na wife alikuwa anaonesha kuchukia Mimi kuwa na rafiki wa aina hiyo.)
Afu badae wife aka liwa na mtu anae mchukia ,,[emoji41]pole sana
Waha wengi wao wanaongoza kwa kumzunguka mtu.Mkuu huyu rafiki alikuwa Muha
Sawa, ila tambua siku zote mazoea hujenga tabia. vipi siku ukigundua karudia tena kuchepuka na mtu mungine utafanyaje au ndio utaendelea tu kumdekeza kisa unamuhitaji?Bado namuhitaji Mkuu.
Akili zao wanazijuaga wenyewe hawa viumbe, eti nilitaka kujaribu....
Ila pole sn kaka maan mke anauma kw kwel!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , yaani achitiwe mtu Mwingine Ruvuma huko kisasi ulipize wewe usiyehusika aki umenichekesha mkuu.Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Hao ndo wanawake na huyp ndo mchizi ambaye anaweza kuchoreka km muhuni, ila kwa akili za wanawake, bado watajilengesha ili kujua yaliyomo[emoji3]
Pole kamanda..... Ila pole kwa ufala wako ukidhani kunywa pombe ndo umetatua tatizo.
Mimi Hata nikiwa nmezaa naye watoto watatu , ATAKAPONISALITI nkajua,LAZIMA YEYE +NGUO ZAKE+ELIMU NA MAKOROKORO YAKE ,AJIBEBE AENDE UKO ANAKOTAKA KWENDA KWASABABU MACHON MWANGU SITOTAKA NIONE SURA YAKE HATA KAMA ATAOMBA MSAMAHA ANALIA CHOZI LA DAMU.
Unajua kwann??? Mwanamke akishakuchepukia,, 100% uwezekano wa ww kufa au kuyumba ni mkubwa, SASA BINAFSI KAMOYO KANGU NAKAPENDA NA SITOKUA TAYAR KUBEBA MSALABA WA MTU MZIMA.
100% nisahihi kabisaaaaaaaa ...yan nisawa na dame umtoe bikra, ataanza kutaman sexy balaaaaa.Inakuwaga inaleta mkosi kwenye ndoa. Au uwezekano wa kurudia hio ujinga uko tena. Once a cheater always will be a cheater.
Shost alicheat na mzungu kazini kwao, kama huyo wako alitaka kujua ladha ya nyeupe. Wenye nia njema walimfahamisha mumewe. Shost alikataa katakata.
Mume alikuja na mistari, mimi na wewe ni mwili mmoja tusifichane. Ndipo alipolainika akafunguka
Tangu afunguke, ndoa yake haina afya njema. Mume anaweza kurudi asubuhi anamwambia nilikuwa ninatest kitu kipya
Kama bado unampenda fanya umuoe sasa, yaliyopita si ndwele ganga yajayo. Mtoto wa watu amekubali makosa, wewe kuendelea kuishi nae kisela ni kujenga matatizo.
Ndoa huimarisha upendo, ndoa ina baraka zake na hujenga hofu kwenye mioyo ya watu. Sasa wewe endelea kuishi kisela ukisema bado unamuhitaji, kesho akikusaliti tena uache kunywa pombe uanze kuokota makopo.