nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Na ile mahari aliyopewa kwenye ndoa ya mwanzo atairudisha?Inategemea!
Ila Kama unamuoa lazima utoe mahari.
Mahari ni moja ya hatua za lazima unapotaka kufunga ndoa.
Duh..Ni sawa tu na kununua gari used Japan hata ukipewa bure TRA lazima wale kichwa
Umejibu vyemaNi sawa tu na kununua gari used Japan hata ukipewa bure TRA lazima wale kichwa
Eti kwa mfano, Marehemu Nelson Mandela alilipa mahari kwa Graca?Umejibu vyema
Nafikiri hivyoKwa Washenga au Kungwi?
Nafahamu wapo Wanawake waliopewa Talaka au wajane humu tunapoishi, napia kuachwa sio dhambi tafsiri nyepesi Talaka ni seal au lakiri inayofungia ndoa, kwa lugha utangazaji wangesema "usichike kidude"
Narudi kwenye swali. Mwanamke aliyekwenye kipengele hicho Talaka au Mjane, ikitokea amepata anayetaka kufunga na ndoa atapitia hatua zilezile za awali? Kutuma Mshenga na Mahari?
Muulize je Ana bikra???Inategemea!
Ila Kama unamuoa lazima utoe mahari.
Mahari ni moja ya hatua za lazima unapotaka kufunga ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imeisha hiyoooooohNi sawa tu na kununua gari used Japan hata ukipewa bure TRA lazima wale kichwa
Hii secondary tulikua tunaiita vivid example.Ni sawa tu na kununua gari used Japan hata ukipewa bure TRA lazima wale kichwa