nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kwa Washenga au Kungwi?
Nafahamu wapo Wanawake waliopewa Talaka au wajane humu tunapoishi, napia kuachwa sio dhambi tafsiri nyepesi Talaka ni seal au lakiri inayofungia ndoa, kwa lugha utangazaji wangesema "usichike kidude"
Narudi kwenye swali. Mwanamke aliyekwenye kipengele hicho Talaka au Mjane, ikitokea amepata anayetaka kufunga na ndoa atapitia hatua zilezile za awali? Kutuma Mshenga na Mahari?