Mwanamke aliyechomwa kwa kuchora Tatoo ya Rais Ruto afariki

Mwanamke aliyechomwa kwa kuchora Tatoo ya Rais Ruto afariki

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya Rais William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kufuatia shambulio la kuchomwa moto kwa petroli.

1779110194738.png
Rachel Wandeto alidaiwa kushambuliwa na watu wasiojulikana katika eneo la Mwiki jijini Nairobi na kuachwa na majeraha makubwa ya moto kabla ya kulazwa hospitalini kwa matibabu. Kifo chake kimeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini Kenya huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea kufanywa na mamlaka husika.

Pia Soma
Mwanamke aliyechora tatoo ya Ruto nchini Kenya achomwa moto
 
Hao wakenya nao ni wapuuzi tu, watamchomaje mtu kwa kuchora tatoo ya ruto? Hata kama hawampendi ruto kwa nini wamchome mtu moto? Bongo hakuna upuuzi huo watu wanaweza kujichora picha ya mama samia na hakuna wa kuwashughulikia
 
Jidanganye!
 
Ndugu yangu Hawa watoto wa chartgpt sijui ndio Gen Z akili hawana usijichanganye hata kidgo
 
Ila binadamu ni viumbe hatari sana.

Mtu anataka aingilie hadi uhuru wako wa kikatiba wa kumshabikia mtu.
 
Back
Top Bottom