Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Jidanganye!Hao wakenya nao ni wapuuzi tu, watamchomaje mtu kwa kuchora tatoo ya ruto? Hata kama hawampendi ruto kwa nini wamchome mtu moto? Bongo hakuna upuuzi huo watu wanaweza kujichora picha ya mama samia na hakuna wa kuwashughulikia
Ndugu yangu Hawa watoto wa chartgpt sijui ndio Gen Z akili hawana usijichanganye hata kidgoHao wakenya nao ni wapuuzi tu, watamchomaje mtu kwa kuchora tatoo ya ruto? Hata kama hawampendi ruto kwa nini wamchome mtu moto? Bongo hakuna upuuzi huo watu wanaweza kujichora picha ya mama samia na hakuna wa kuwashughulikia