Mwanamke aliyefanyiwa operation ya apendix

Mwanamke aliyefanyiwa operation ya apendix

Kawaida kama hakuna complications zozote yakupasa kusubiri wiki 3 na kuendelea na hii ni kama mtu aliyefanyiwa operation hajisikii maumivu kabisa...

Je mkeo katolewa appendix kwa aina ipi ya operation, open or laparoscopic appendectomy?
 
Looh, ushauri ni kuwa kunatakiwa subira ya hadi wiki sita baada ya operation. Hii ni kutokana na kuwa tendo la ngono linatumia aina mbali mbali ya misuli na mingine inakatisha huko huko kulikofanyiwa operation, hivyo ukidharau ushauri utamuumiza mwenzio, na zaidi hata hawezi furahia. Tulizana, muuguze mpenzi/mke wako kwa upendo na huruma, na tafadhali usifanye mambo ya michepuo.
 
katolewa kwa open, tangu mwez january mwaka huu@ Watu8

Okay kidonda chake huwa kinachukua hadi wiki nne kupona...

Baada ya hapo jaribu kuangalia kama hatakuwa na maumivu au hali yoyote ya kujisikia vibaya...

Kusubiria muda mrefu zaidi ni vizuri zaidi na ili kuharakisha uponyaji zaidi yampasa mkeo awe anapumzika mara ajisikiapo kuchoka, awe anatembea tembea kuharakisha kidonda kuunga, asinyanyue vitu vizito kwa wiki za mwanzo...
 
Last edited by a moderator:
Looh, ushauri ni kuwa kunatakiwa subira ya hadi wiki sita baada ya operation. Hii ni kutokana na kuwa tendo la ngono linatumia aina mbali mbali ya misuli na mingine inakatisha huko huko kulikofanyiwa operation, hivyo ukidharau ushauri utamuumiza mwenzio, na zaidi hata hawezi furahia. Tulizana, muuguze mpenzi/mke wako kwa upendo na huruma, na tafadhali usifanye mambo ya michepuo.

Wiki 6 zimevuka kitambo tu, kafanyiwa mwezi january had sasa ninapouliza ni April cjui tunaelewana?
 
Back
Top Bottom