AD MostWanted
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 108
- 12
Je anatakiwa akae muda gani bila kufanya mapenzi? Naomba jibu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katolewa kwa open, tangu mwez january mwaka huu@ Watu8
Looh, ushauri ni kuwa kunatakiwa subira ya hadi wiki sita baada ya operation. Hii ni kutokana na kuwa tendo la ngono linatumia aina mbali mbali ya misuli na mingine inakatisha huko huko kulikofanyiwa operation, hivyo ukidharau ushauri utamuumiza mwenzio, na zaidi hata hawezi furahia. Tulizana, muuguze mpenzi/mke wako kwa upendo na huruma, na tafadhali usifanye mambo ya michepuo.