0897
Member
- Feb 25, 2022
- 39
- 92
"Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe, Mume kukuomba tendo la ndoa ni ishara kuwa wewe hujui nafasi yako kwake.
Mwanamke mwenye akili na mwenye kujali ndoa yake hutengeneza mazingira ya tendo kwa mumewe kwa kujipamba kwa manukato mazuri na nguo zitakazomvuta mumewe kihisia.
Tendo la ndoa haliombwi kinywani, bali linatengenezwa kwa mazingira ya upendo ndani ya nyumba kiasi cha kuwafanya mume na mke kutamaniani kila muda bila hata kuombana mili yao.
Mwanamke usitengeneze tabia ya kuombwa tendo la ndoa, ni kujitukanisha kwa mwanaume, Mfanye mwanaume ashiriki na wewe tendo bila hata kukuomba.
Kukuomba tendo ni matusi makubwa maana yake wewe si kitu chenye maana kwake, anakuomba tu kwa haja zake akimaliza atakuomba tena siku nyingine akiwa na haja na wewe. Tengeneza mazingira ya tendo kwa mumeo bila hata kukuomba.
Katika ndoa kuna vitu vidogo sana unaweza kuona vya kipuuzi lakini hivyo ndiyo vikawa himaya ya ndoa,
Ndoa ni kuthaminiana na kuhurumiana. Usijione bora mbele ya mwezio, jishushe kwake naye ajishushe kwako na hiyo ndiyo hakika ya pendo."