Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe

Pamoja na maelezo yako bado hapo Mchepuko anastahili kupewa A+ kwa sababu:-

1. Huyo wife ambae hatoi mbunye sharti kwa kuombwa au sometimes hadi kwa "mateke na mangumi" sio kwamba yeye hapewi hayo matumizi, la hasha bali anashindwa kuona thamani ya mtoa matumizi.

2. Wife anashinmdwa kuiona thamani ya mtoa matumizi kwa sababu tu anaona ni haki yake kupewa hayo matumizi huku akisahau kwamba hakuna HAKI bila ya WAJIBU!

3. Mchepuko anatoa bila bughudha sio kwa sababu anapewa matumizi bali kwa sababu anaijua thamani ya mtoa matumizi, hivyo anaamua kutimiza wajibu wake kwa kum haki yake yule ambae nae ametimiza wajibu wa kumpa yeye matumizi!
 
Kuna Dada mmoja, ambaye njia ninayopita huwa tunagongana mara kwa Mara, ana shughuli zake maeneo hayo. Siku moja akaniita aliponiona, nikaenda bwana, baada ya salamu akaniambia "leo jioni naomba uje home kwangu" nikamwambia kuna issue gani mrembo? Jibu lake 'nataka leo uje uklnikaze, kwa nini niteseke na wewe upo na ninakuona kila mara? " aisee nikabaki speechless kwa sababu sikutarajia... Ghafla akaendelea" sasa hapo cha ajabu nini wewe? Acha ushamba bwanaaa "....
 
Wadigo noma sana [emoji23][emoji23]
 
Ngoja waje kuchukua muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Safi sana..mwanaume msimamo
 
π™°πšŒπš‘πšŠπšπšž πš”πš”
 
Kumbuka ata mkeo ashawahi kuwa mchepuko wa mtu usidhan ety hajui ku care anajua sana ila kakuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…